Sunday, July 26, 2026
29.2 C
Dar es Salaam

Watu 11 wafariki, 14 wajeruhiwa katika tukio la mauaji Pretoria, Afrika Kusini

Takribani watu 11 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mapema Jumamosi asubuhi Afrika Kusini. Tukio hilo limesababisha mauaji jijini Pretoria. Kwa mujibu wa polisi, tukio hilo lilitokea majira ya saa 4:00 asubuhi katika hosteli ya Saulsville, iliyopo Atteridgeville, magharibi mwa Pretoria. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto watatu. Polisi wamedhibitisha kuwa mvulana wa miaka...

Baadhi ya Nchi Kushindwa Kupeleka Mashabiki Kombe la Dunia 2026

Huu ni muhtasari wa nchi zinazoweza kushindwa kupeleka mashabiki nchini Marekani kutokana na sera mpya za usafiri. Fainali za kombe la Dunia 2026 ni mwakani mwezi June. Kadri zinavyokaribia, suala la usafiri wa kimataifa kuelekea Marekani limeanza kujitokeza kama changamoto kwa baadhi ya mataifa. Mashindano hayo yataandaliwa kwa pamoja na Marekani, Kanada na Mexico, huku fainali nyingi zikitarajiwa kufanyika Marekani. Mabadiliko...

Rais Ruto aipongeza Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa AGOA

Rais wa Kenya, William Ruto, ameipongeza serikali ya Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa Mpango wa AGOA. Amesema hatua hiyo italinda mafanikio ya kibiashara ambayo tayari yamepatikana. Mpango huo wa AGOA ulianzishwa mwaka 2000. Unaziwezesha nchi kadhaa za Afrika kupata soko la Marekani bila ushuru kwa bidhaa zilizochaguliwa. AGOA imekuwa nguzo muhimu kwa sekta kama nguo, kilimo na viwanda...

Tag: #iranisraelwar

Mamia Wahudhuria Mazishi ya Waandishi wa Habari Al Jazeera Anas al-Sharif na Mohamed Qreiqeh

Agosti 2025Na: Observer Africa | Habari za Kimataifa UtanguliziHali ya simanzi imetanda katika mji wa Khan Younis, Gaza, baada ya mamia ya watu kujitokeza kushiriki...

Iran Yashambulia Kambi za Marekani Nchini Qatar na Iraq kwa Makombora

Doha, 24 Juni 2025 Katika kile kinachotajwa kuwa hatua ya kujibu mashambulizi ya awali ya Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, Jamhuri ya...

Rais Donald Trump atangaza rasmi kufanya mashambulio dhidi ya Iran

Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Rais Donald Trump ametangaza kuwa tayari Marekani imefanya mashambulio nchini Iran kwa kutumia B-2 Stealth Bombers. Katika ujumbe wake...

- A word from our sponsors -

spot_img

Follow us

HomeTags#iranisraelwar